
Dar es salaam

POWERED BY OTAPP
Njia Zetu
Mwanza kwenda Dar es Salaam
Mwanza kwenda Mbeya
Mwanza kwenda Moshi
Mwanza kwenda Tunduma
Mwanza kwenda Mpanda
Mwanza kwenda Sumbawanga
Mwanza kwenda Usinge
Mwanza kwenda Kaliua
Mwanza kwenda Urambo
Musoma kwenda Dar es Salaam
Musoma kwenda Mpanda

Kuhusu Sisi
Ally's Star Bus ni kampuni ya usafiri wa abiria na mizigo yenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu, ikihudumia kwa ufanisi safari mbalimbali hususan katika Kanda ya Ziwa na maeneo mengine ya Tanzania. Kwa zaidi ya miongo miwili, tumekuwa tukijenga jina la kuaminika kwa kutoa huduma salama, za uhakika na zenye viwango vya juu.
Ni salama unaponunua tiketi yako hapa. Pesa zako zikiondolewa utapokea uthibitisho wa tiketi kutoka Ally's Star Bus.
Utapata bei iliyopendekezwa na mamlaka unaponunua kiti chako popote na wakati wowote na Ally's Star.
Mafanikio Yetu
Kuunganisha miji mikuu Tanzania
Wamehudumiwa kwa starehe na usalama
Huduma ya usafiri inayoaminika
Tunaahidi usalama wa abiria
Vifaa
Burudani
Choo
Wifi
Chakula Bure
Marudio

Dar es salaam

Dodoma

Mpanda

Mwanza
Maoni ya Wateja
JOSEPH PETER
Basi za VIP nimepnda siti zenu zina nafasi ya kutosha ya kunyoosha miguu.
KURWA MAGANGA
Kwakweli chuma ziko bomba sana, nimepanda EBF safari ni nzuri sana. Mnatunza muda vizuri.
JUDITH MKUKA
VVIP hakika unastarehe sana, huchoki na safari inakua poa sana. Salute kwenu.